Friday, August 19, 2011

Mfanyabiasha ya nyama katika moja ya mabucha yaliyopo soko kuu la manispaa songea aliyefahamika kwa jina moja la Heddy akiwa ameuchapa usingizi baada ya kusubiri wateja kwa muda bila ya mafanikio.Hiyo ndio hali halisi ya maisha Mtanzania.


No comments:

Post a Comment