Saturday, August 27, 2011

Picha zote hapo chini ni hali ilivyo kuwa katika makazi hayo baada ya waasi kuyavamia na kufanya chochote walicho taka,,Maisha ya watu wa libya ilikuwa siyo nzuri kwani kiongozi huyo alikuwa ameng'ang'ania madaraka kwa muda mrefu sana na kufanya machafuko ya nchi..




No comments:

Post a Comment