Monday, December 12, 2011

PICHA ZIKIONYESHA MATUKIO YA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU YAFANA JIJINI DAR.

                                                                        Rais Kikwete  (kulia) akiingia.
                                                             JK akiwapungia mkono wananchi.
Umati uliokosa nafasi ya kuingia uwanjani ukichungulia kwenye upenyo wa ukuta.   
SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo imefanya sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru ambapo Mgeni rasmi alikuwa Rais Jakaya Kikwete. Umati mkubwa wa watu umehudhuria sherehe hizo wakiwemo Marais na viongozi wa mataifa mbalimbali. Sherehe hizo zilizofana vilivyo zimefanyiwa katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

                                      JK akielekea kwenye vikosi vya majeshi kwa ajili ya kuvikagua.
                                Akikagua majeshi.
                               Sehemu ya umati.
                        Wanajeshi wakionesha umahiri wa kucheza karate mbele ya mgeni rasmi.
               Gari la kubebea silaha za kivita ni miongoni mwa zana za kivita zilizopitishwa mbele ya mgeni rasmi.
MzingaKifaru.
                        Kifaru chenye matairi ya chuma.
                                     Aina nyingine ya kifaru.
                            Maloketi ya kutungulia ndege yakiwa yamebebwa kwenye lori.

No comments:

Post a Comment