Monday, December 12, 2011

Rais Jakaya Kikwete atembelea maonesho ya miaka 50 ya Uhuru viwanja vya maonesho ya Sabasaba vya Mwalimu Nyerere

Rais Kikwete akipata maelezo ya mashine ya kisasa ya kufyatulia matofali kwenye banda la JWTZ.
Rais Kikwete akitembelea bustani ya wanyama pori katika banda la Wizara ya Maliasili na Utalii.
Rais Kikwete akipata maelezo juu ya mashine ya kuatamia kuku katika banda la kilimo na ufugaji.

Rais Kikwete akiongea na wanafunzi wa Versity Secondary School juu ya maabara ya sayansi.
Rais Jakaya Kikwete akipokea zawadi ya solar toka kwa Bi Jaina Msuya wa banda la mradi wa Umeme vijijini
Rais Kikwete akiangalia gramophone ya 'His Masters Voice' katika banda la Wilaya  ya Moshi.
Rais Kikwete akisaini kitabu cha wageni banda la Benki Kuu.
Rais Jakaya Kikwete katika banda la TRA.
Wapiga Picha wakiwa kazini wakati wa ziara hiyo. Juu ni Robert Okanda wa Daily News na chini ni Richard
Mwaikenda wa Jambo Leo.
Rais Jakaya Kikwete katika banda la Ofisi ya Rais.
Rais Kikwete akiangalia bonge la boga.

PICHA ZOTE NA IKULU

RAIS KIKWETE AKUTANA NA WAKUU WA MIKOA WOTE IKULU JIJINI DAR

Rais Jakaya Kikwete akiongea na wakuu wa mikoa wote jana Jumapili Desemba 11, 2011 Ikulu jijini Dar es Salaam kuzungumzia mikakati  ya maendeleo na uboreshaji wa huduma za jamii. Picha zote na…
Rais Jakaya Kikwete akiongea na wakuu wa mikoa wote jana Jumapili Desemba 11, 2011 Ikulu jijini Dar es Salaam kuzungumzia mikakati  ya maendeleo na uboreshaji wa huduma za jamii.
                                                  Picha zote na Ikulu

No comments:

Post a Comment