MSANII chipukizi, Juma Bakari Mansa ‘Say Lee’ aliyeibuka kwa staili ya kumtupia madongo nguli wa muziki wa Hip Hop Bongo, Ney wa Mitego, ameapa kumfunika vibaya katika muziki.
Msanii huyo aliyasema hayo jana katika ofisi za Global ambapo alisema kwamba amegundua Ney wa Mitego anapotosha jamii katika nyimbo zake hivyo ujio wake utakuwa wa…
MSANII chipukizi, Juma Bakari Mansa ‘Say Lee’ aliyeibuka kwa staili ya kumtupia madongo nguli wa muziki wa Hip Hop Bongo, Ney wa Mitego, ameapa kumfunika vibaya katika muziki.
Msanii huyo aliyasema hayo jana katika ofisi za Global ambapo alisema kwamba amegundua Ney wa Mitego anapotosha jamii katika nyimbo zake hivyo ujio wake utakuwa wa kumrekebisha.
No comments:
Post a Comment