Friday, September 9, 2011

David Jairo na sakata lake kuhusu wizara ya nishati na madini.

Naamini umeshasikia kuhusu sakata linalomhusu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini,David Jairo.Hivi sasa swali ambalo sote tunajiuliza au twapaswa kujiuliza ni je,nani zaidi kati ya Bunge,Serikali Kuu au pengine hata mahakama?Sakata hili linatufundisha au kutupa picha gani?Tujisikie vipi kuona mhimili mmoja wa dola unaonekana kuuletea “dharau” mwingine?Isitoshe,bado tatizo la msingi(ukosefu wa umeme) bado lipo pale pale.Kuna dalili za kutatua tatizo hili la msingi kwa mwendo huu?

Read more: BongoCelebrity

No comments:

Post a Comment